NafasiNafasi za kazi

sales representative

KASI KUBWA GREEN ENERGY COMPANY

Mwajiri
KASI KUBWA GREEN ENERGY COMPANY
Mahali
Vingunguti, nyerere road, Dar es salaam, Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Aina ya kazi
Kazi ya kudumu
Uzoefu
Hakuna uzoefu unaohitajika
Malipo
TZS 400,000 kwa mwezi
Tarehe ya mwisho
30 Novemba 2026
Ilitangazwa
1 Oktoba 2026

Maelezo ya kazi

FURSA YA MAFUNZO KWA VITENDO (INTERNSHIP) — DAR ES SALAAM
Tunakaribisha wahitimu wapya wa vyuo vikuu vilivyopo Dar es Salaam kujiunga na timu yetu ya Kasi Kubwa Green Energy Company kama wanachuo wa mafunzo kwa vitendo (Interns).
📌 Fani Zinazohitajika (Fields of Study):
Marketing (Masoko na Uuzaji)
Hospitality & Reception (Umapokezi na Ukarimu)
Computer Science (Sayansi ya Kompyuta / TEHAMA)
Construction Machinery (Mitambo ya Ujenzi na Magari Makubwa)